Wednesday, 24 May 2017

Rais amtaka Waziri Muhongo kujitafakari na kuchukua hatua

Rais mtaka Waziri Muhongo kujitafakari na kuchukua hatua kutokana na kushindwa kusimamia baadhi ya idara katika wizara yake na hivyo kuruhusu mchanga wa madini kusafirishwa nje ya Nchi huku serikali ikikosa mapato kutokana na kile alicho sema baadhi ya watumishi kushindwa kutimiza kwa maksudi au kwa kuto kujua. 

No comments:

Post a Comment