Tuesday, 18 April 2017

 
Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Pwani Shangwe Twamala akikagua baadhi ya bidhazaa za wajasiliamali wanawake waliohudhuria katika mkutano maalumu wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Mkoa wa Pwani.
mkutano huo unafanyika leo katika ukumbi ulipo katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani huku kukiwa na wadau mbalimbali wa kibiashara ambao wamehudhuria mkutano huo kama vile NSSF, NMB, SIDO, TFDA, na TBS taarifa zaidi zitawajia (Picha na Joseph chiwale)

No comments:

Post a Comment