Thursday, 20 April 2017

Serikali imesema iko teyari kulipa madeni mbalimbali ya walimu lakini kwa sasa kinacho fanyika nikuendelea kupitia na kujiridhisha juu ya uhalali wa madeni ya walimu ambayo yamekuwa yakisema na chama cha walimu Tanzani CWT.
Hayo yamebaishwa na Waziri Mkuu Kassimu Mjaliwa wakati akijibu swali kutoka kwa wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo.
ameongeza kuwa serikali imejipanga vizuri kuhakikisha inalipa madeni hayo kila inapo malizika hatua ya uhakiki huku akiwataka walimu kuwa wavumilivu na kufanya kazi kwa bidii.

No comments:

Post a Comment